Wadau watakiwa kutoa maoni Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Wizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuandaa Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo (Vision 2050), ambayo itatoa maono na kuweka malengo ya Taifa kwa kipindi cha miaka 25 ijayo. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Christian Omolo, wakati akizungumza na waandishi wa…
