Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha
Tanzania imekuwa mojawapo ya nchi zilizo Mashariki na Kusini mwa Afrika zilizopiga hatua kubwa katika udhibiti wa utakatishaji fedha haramu na uzuiaji wa silaha za maangamizi na ufadhili wa ugaidi. Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande (Mb), amesema hayo katika Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri na Maafisa Waandamizi wa Umoja wa nchi…
