AFREXIMBANK YAIPA TANZANIA NGUVU MPYA
Afreximbank yaipa Tanzania nguvu mpya.Safari ya mabadiliko ya kiuchumi nchini Tanzania imepata nguvu mpya baada ya Serikali kuweka wazi mikakati yake ya muda mrefu inayolenga kukuza uchumi na kufikia thamani ya dola za Kimarekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Katika kufikia azma hii kubwa, Serikali imebainisha wazi kuwa taasisi za kifedha za kikanda zinachukua nafasi…
