NMB YAONESHA SULUHISHO YA KIFEDHA
NMB yaonesha suluhisho ya kifedha.Sekta ya kilimo nchini Tanzania inaendelea kuwa mhimili mkuu wa uchumi, ikiajiri zaidi ya asilimia 60 ya nguvu kazi ya taifa na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa (GDP) pamoja na usalama wa chakula. Pamoja na mchango huu mkubwa, changamoto ya upatikanaji wa mitaji na suluhisho thabiti za kifedha…
