JKCI YAWATAKA WANANCHI KUJUA ‘NAMBA ZAO
JKCI yawataka wananchi kujua namba zao.Magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa changamoto kubwa ya kiafya duniani kote, na Tanzania haijabaki nyuma katika mapambano haya. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la ghafla la vifo na matatizo ya kiafya yanayotokana na magonjwa ya mfumo wa damu na moyo. Ili kukabiliana na hali hii, wananchi kote nchini wametakiwa…
