WATEJA MILIONI MOJA WAIPELEKA MIXX KILELENI
Wateja Milioni moja waipeleka mixx kileleni.Sekta ya teknolojia ya kifedha (FinTech) nchini Tanzania inaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya kimkakati, huku ubunifu ukizidi kushika kasi katika kurahisisha maisha ya wananchi. Katika mstari wa mbele wa mapinduzi haya, kampuni ya Mixx imejivunia kuendelea kuongezeka kwa kasi kwa idadi ya wateja wake pamoja na matumizi ya huduma zake…
