SHULE 3,296 ZANUFAIKA NA INTANETI AFRIKA-pesatu.co.tz

SHULE 3,296 ZANUFAIKA NA INTANETI AFRIKA

Shule 3,296 zanufaika na intaneti afrika.Taasisi ya Airtel Africa Foundation imechapisha ripoti yake ya kwanza ya mwaka, inayoonyesha hatua kubwa na utekelezaji wa miradi yenye mchango chanya kwa jamii katika nyanja mbalimbali. Ripoti hii inaangazia maeneo muhimu kama vile upatikanaji wa elimu bora, kuwajengea watu ujuzi wa kiteknolojia, pamoja na kutengeneza fursa mbalimbali za kiuchumi…

Soma Zaidi
ABSA NA WWF WAPANDA MITI 1,300 PUGU-pesatu.co.tz

ABSA NA WWF WAPANDA MITI 1,300 PUGU

ABSA na WWF wapanda miti 1,300 Pugu.Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, masuala ya ikolojia na ulinzi wa rasilimali za asili yameendelea kuchukua nafasi ya mbele nchini Tanzania. Katika muktadha huu, wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF), wametekeleza zoezi kabambe la upandaji wa miti 1,300…

Soma Zaidi
WAZIRI MAVUNDE AHIMIZA UTAFITI WA MADINI-pesatu.co.tz

WAZIRI MAVUNDE AHIMIZA UTAFITI WA MADINI

Waziri Mavunde ahimiza utafiti wa Madini kwa maendeleo ya Nchi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuweka msisitizo mkubwa katika matumizi ya sayansi, teknolojia, na ubunifu kama nguzo kuu ya kuleta mapinduzi ya kiuchumi. Katika kuhakikisha rasilimali za nchi zinaleta tija inayokusudiwa, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde , ametoa wito mzito kwa wanazuoni,…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks