KONCEPT AI ACADEMY YAPANUA MAPINDUZI YA AI AFRIKA
Koncept Ai Academy yapanua mapinduzi ya Ai Afrika.Zama mpya za kiteknolojia zimewadia barani Afrika, na Tanzania ipo mbele kutoa mwelekeo. Taasisi kinara ya KONCEPT AI ACADEMY imefikia hatua nyingine kubwa na ya kihistoria katika dhamira yake ya kuharakisha matumizi ya vitendo ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence — AI) barani Afrika. Hatua hii imekuja mara baada…
