RAIS RUTO AIBUKA NA AGENDA YA KIUCHUMI TANZANIA
Rais Ruto aibuka na agenda ya kiuchumi Tanzania.Mei 5, 2026, itabaki kuwa siku ya kihistoria katika Diplomasia ya Afrika Mashariki. Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dkt. William Ruto, ametoa mwito mzito kwa mataifa ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya maboresho makubwa ya sera na mifumo ya kikanda ili kurahisisha usafiri wa watu na biashara. Hotuba hiyo,…
