BENKI ABSA YACHOCHEA MAPINDUZI YA AFYA NA RIADHA
Benki Absa yachochea mapinduzi ya Afya na Riadha.Sekta ya afya na michezo nchini Tanzania imepokea msukumo mkubwa mara baada ya kumalizika kwa mashindano makubwa ya mbio yaliyokuwa yakisubiriwa kwa hamu. Benki ya Absa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali na wadau mbalimbali zenye lengo la kuboresha afya za Watanzania. Hatua…
