KAPINGA AFUNGUA MILANGO YA SOKO LA CHINA
Kapinga afungua milango ya Soko la China. Katika hatua inayotarajiwa kuleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya biashara ya kimataifa nchini Tanzania, Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ametoa maagizo mazito yenye lengo la kuunganisha nguvu kazi ya ndani na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani. Waziri Kapinga ameagiza kuanzishwa kwa dawati maalum litakalokuwa na…
