BENKI YA TCB YAZINDUA RASMI TAWI LA UBUNGO EACLC
Benki ya TCB yazindua rasmi tawi la Ubungo EACLC. Katika hatua kubwa ya kuimarisha sekta ya kibenki na kusogeza huduma karibu na jamii, Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua rasmi tawi lake jipya na la kisasa katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa tawi hili, lililopo katika jengo la kimkakati la EACLC,…
