WABUNGE KUSHUHUDIA MAPINDUZI YA UMEME
Wabunge kushuhudia mapinduzi ya Umeme. Katika kilele cha maendeleo ya teknolojia na jitihada za serikali ya Awamu ya Sita kuimarisha sekta ya nishati nchini Tanzania, tukio la kihistoria limeshuhudiwa katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amezindua rasmi fursa ya kipekee ambapo amewaalika wawakilishi wa wananchi kushuhudia maendeleo makubwa ya miradi…
