TTCL YAZINDUA KIJITONYAMA FTTX EXPERIENCE CENTRE
TTCL yazindua kijitonyama FTTX Experience Centre. Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuandika historia mpya katika sekta ya teknolojia nchini kwa kupata mafanikio makubwa ya kifedha na kiteknolojia. Katika ripoti ya hivi karibuni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TTCL, David Nchimbi, ameweka wazi kuwa shirika hilo limepata faida ya shilingi bilioni 22.9 kabla ya…
