TANZANIA YASISITIZA UONGEZAJI WA THAMANI MADINI
Tanzania yasisitiza uongezaji wa thamani madini,katika hatua inayolenga kubadilisha sura ya uchumi wa rasilimali barani Afrika, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito mzito kwa mataifa ya Afrika kuungana na kuweka mkazo katika uongezaji thamani madini Tanzania na barani kote. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa utajiri wa madini hauishii kusafirishwa kama malighafi kwenda…
