ELIMU YA FEDHA YAIMARISHA UCHUMI WA KAYA TANGA
Elimu ya fedha yaimarisha uchumi wa kaya Tanga.Katika kilele cha Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa jijini Tanga, kumeibuka tumaini jipya kwa wananchi baada ya Serikali kusisitiza umuhimu wa Bima ya Afya kwa Wote na Elimu ya Fedha kama nguzo kuu za ukombozi wa mwananchi wa hali ya chini. Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Balozi Dkt….
