Pesa Tu Social Media Post 2025 38

MIAKA 10 BILA MABADILIKO YA BEI YA UMEME TANZANIA

Miaka 10 bila Mabadiliko ya bei ya umeme Tanzania.Katika kipindi ambacho uchumi wa dunia umekuwa ukikabiliwa na mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali,kwani gharama za umeme Tanzania zimebaki kuwa thabiti na nafuu kwa kipindi cha muongo mmoja sasa. Hii ni hatua ya kimkakati inayolenga kumlinda mwananchi wa hali ya chini na kukuza viwanda. Mnamo Januari…

Soma Zaidi
Pesa Tu Social Media Post 2025 37

TANZANIA NA MAREKANI KUSHIRIKIANA SEKTA YA MADINI

Tanzania na Marekani kushirikiana sekta ya Madini.Katika hatua kubwa inayolenga kubadilisha mwelekeo wa uchumi wa viwanda nchini, juhudi za Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini zimeingia katika awamu mpya na ya kusisimua. Januari 21, 2026, jiji la Dodoma limekuwa kitovu cha mazungumzo muhimu yaliyolenga kuongeza tija, ajira, na mchango wa madini ya…

Soma Zaidi
Pesa Tu Social Media Post 2025 30

SERIKALI INAVYOJIPANGA UTEKELEZAJI WA UMEME VIJIJINI

Serikali inavyojipanga utekelezaji wa Umeme vijijini.Katika jitihada za kuhakikisha adhma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kufikisha nishati ya umeme kwa kila mtanzania inatimia,Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekuja na mkakati mpya wa usimamizi. Mkurugenzi Mkuu wa REA,Hassan Saidy, ametoa mwongozo thabiti kwa wahandisi na wasimamizi wa miradi wa mikoa ili kuharakisha utekelezaji wa…

Soma Zaidi
Pesa Tu Social Media Post 2025 27

ZANZIBAR,SAUDI ARABIA USHIRIKIANO WAKE WAIMARIKA

Zanzibar,Saudi Arabia ushirikiano wake waimarika,Katika hatua nyingine ya kihistoria inayolenga kuimarisha diplomasia na uchumi wa visiwa vya karafuu, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kufurahishwa kwake na mwenendo wa ushirikiano wa Zanzibar na Saudi Arabia. Hatua hii inakuja wakati ambapo Zanzibar inazidi kujifungua katika nyanja za kimataifa, ikitafuta…

Soma Zaidi
Pesa Tu Social Media Post 2025 25

SGR,BARABARA SI WASHINDANI BALI WASHIRIKA WA MAENDELEO

Sekta ya usafirishaji nchini Tanzania inapitia mapinduzi makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu uhuru. Katikati ya mapinduzi haya ni ujenzi wa reli ya SGR Tanzania (Standard Gauge Railway), mradi ambao umezua mijadala mingi miongoni mwa wachambuzi wa uchumi, wasafirishaji, na wananchi wa kawaida. Swali kuu limekuwa: Je, kuimarika kwa reli kutaua biashara ya malori na mabasi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks