Pesa Tu Social Media Post 2025 58

WAFANYABIASHARA WAONYWA KUPANDISHA BEI YA CHAKULA

Wafanyabiashara waonywa kupandisha Bei ya Chakula.Katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanajiandaa kwa ajili ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kipindi cha Kwaresma, kumekuwepo na hofu ya kupanda kwa bei za bidhaa muhimu. Hata hivyo, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewakatisha tamaa wafanyabiashara kutumia fursa hiyo kuwaumiza wananchi. Akijibu swali la Mbunge wa Viti…

Soma Zaidi
Pesa Tu Social Media Post 2025 56

TTFL 2026 KUFUNGUA FURSA ZA BIASHARA TANZANIA,DUBAI

TTFL 2026 Kufungua Fursa za Biashara Tanzania na Dubai.Sekta ya usafirishaji na biashara nchini Tanzania inatarajiwa kupata msukumo mpya kufuatia maandalizi ya Kongamano kabambe la Kimataifa linalolenga kuunganisha masoko ya Afrika Mashariki na Mataifa ya Kiarabu. Taasisi ya Tanzania Freight Forwarders Representation in Dubai (TANFORD) imetangaza rasmi kuandaa kongamano la siku mbili litakalofanyika jijini Dubai,…

Soma Zaidi
Pesa Tu Social Media Post 2025 51

SERIKALI YATAMBUA MCHANGO WA KAMAL GROUP KIVIWANDA

Serikali yatambua mchango wa Kamal Group kiviwanda.Sekta ya viwanda nchini Tanzania inaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa katika kipindi hiki ambacho Serikali ya Awamu ya Sita imeweka msisitizo wa dhati katika kuimarisha uchumi wa viwanda. Katika hatua ya hivi karibuni ya kuonyesha utayari wa Serikali kusaidia sekta binafsi, Waziri wa Viwanda na Biashara,Judith Kapinga, amefanya ziara ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks