FCC KINARA WA KUKUZA UCHUMI SHINDANI
FCC Kinara wa Kukuza Uchumi Shindani. Sekta ya biashara na viwanda nchini Tanzania imeingia katika sura mpya kufuatia maelekezo mazito yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo. Katika ziara yake ya kikazi jijini Dar es Salaam, Waziri Londo amesisitiza kuwa ushindani wa haki wa FCC ndio uti wa mgongo wa kukuza uzalishaji…
