MITAJI YA UMMA CHACHU YA MAENDELEO
Mitaji ya umma chachu ya Maendeleo. Katika safari ya kuimarisha uchumi wa Tanzania, dhana ya usimamizi wa mitaji ya umma imekuwa nguzo kuu inayohakikisha kila shilingi ya mlipakodi inaleta tija. Hivi karibuni, jijini Dodoma, Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imehitimisha semina maalum ya siku tano iliyolenga kuwajengea uwezo Wabunge, hususan wajumbe wa Kamati ya…
