FURSA ZA UWEKEZAJI ZANG’ARA MBEYA
Fursa za Uwekezaji zang’ara mbeya .Mkoa wa Mbeya, unaojulikana kama kitovu cha uzalishaji na lango la kibiashara kuelekea nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), umezizima kwa shamrashamra za kibiashara. Mapema Februari 17,2026, ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya umekuwa mwenyeji wa tukio la kihistoria lililolenga kuibua na kukuza fursa za uwekezaji Mbeya….
