RAIS SAMIA KUZINDUA MAPINDUZI MAPYA BANDARI YA DAR
Rais Samia kuzindua mapinduzi mapya bandari ya Dar . Sekta ya uchukuzi nchini inatarajiwa kupata mageuzi makubwa kufuatia hatua ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa matangi 15 ya kuhifadhia mafuta. Mradi huu, ambao una thamani ya Shilingi Bilioni 678.6, ni sehemu muhimu ya mkakati mpana wa upanuzi wa…
