UWEKEZAJI MADINI TANZANIA WAONGEZA FURSA
Uwekezaji Madini Tanzania waongeza Fursa. Sekta ya madini nchini Tanzania inaendelea kuwa mhimili mkuu wa uchumi wa taifa, huku Serikali ya Awamu ya Sita ikizidi kuweka mazingira wezesha kwa Watanzania kunufaika. Katika mfululizo wa matukio muhimu jijini Dodoma, Wizara ya Madini na Tume ya Madini zimepiga hatua kubwa katika kuhakikisha kuwa fursa za uwekezaji na…
