Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa
Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi inayoongoza kwa uzalishaji asali barani Afrika. Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki alibainisha hayo katika mkutano na waandishi wa habari juu ya ushindi wa Tanzania kuandaa mkutano wa Dunia wa Ufugaji Nyuki (APIMONDIA). Mkutano…
