Bilioni 65.16 kutumika mradi wa umwagiliaji
Takribani Tsh bilioni 65.16 zitatumika katika mradi wa ujenzi wa bwawa na skimu ya umwagiliaji wa Bonde la Luiche, mkoani Kigoma lenye ukubwa wa hekta 3000. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameshiriki katika kukabidhi mradi huo Julai 21, 2024 kwa mkandarasi M/S CRJE (East Africa) LIMITED ya Dar es Salaam. Waziri Bashe amesema mradi huu…
