Tanzania, Msumbiji kujadili biashara, uwekezaji
Tanzania na Msumbiji wanatarajiwa kushiriki mazungumzo ya pamoja ambayo yatajikita katika sekta ya biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika Julai 02, 2024 ambapo Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi atafanya ziara ya Kiserikali ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Rais Samia na Rais Nyusi,…
