sawaaaa

Uharibifu wa miundombinu wasitisha safari za treni Tanzania

Uharibifu wa miundombinu ya reli umesababisha Shirika la Reli Tanzania (TRC) kusitisha huduma za safari za treni kwa muda kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na TRC Januari 17, 2024 imetaja maeneo yaliyoharibiwa na mvua kuwa ni Mazimbu, Kilosa na Munisagara mkoani Morogoro, Godegode na Gulwe (Dodoma), Ruvu Junction, Wami, Mvave mkoani…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 12 22 at 16.04.01

Miradi ya “REGROW” Ruaha italeta watalii Kusini Dkt. Abbasi

Utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) utakuwa chachu ya kuongeza idadi kubwa ya watalii katika Hifadhi za maeneo hayo. Hivyo watekelezaji wa miradi hiyo wametakiwa kuhakikisha wanafanya kazi kwa umakini, kwa kasi inayohitajika na kwa kiwango cha juu ili ujenzi wa miundombinu yote ikamilike kwa wakati….

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 12 22 at 14.15.15

Sheria ya majengo muarobaini wa gharama za ujenzi nchini

Imeelezwa kuwa kukosekana na sheria moja inayosimamia shughuli za ujenzi wa majengo imekuwa chanzo cha kusababisha gharama kubwa za ujenzi nchini. Mhandisi Ujenzi wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Geofrey Mwakasenga, amesema katika kukabiliana na hali hiyo tayari baraza hilo limekamilisha mchakato wa kuandaa andiko linaloainisha umuhimu wa Sekta ya Ujenzi na hivyo kuwezesha…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks