Nishati isiyo safi inavyogharimu maisha ya Watanzania elfu 33 kwa mwaka
Zaidi ya watu elfu 33 wanakufa kila mwaka nchini Tanzania kutokana na magonjwa ya mfumo wa hewa ambayo kwa kiasi kikubwa husababishwa na nishati isiyo safi. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameyasema hayo Septemba 8, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa Hafla ya Azimio la Kizimkazi iliyolenga kuunga mkono…
