Tanzania yatumia wiki ya nishati India kunadi vitalu vya mafuta na gesi asilia
Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Tanzania (PURA) imeendelea kuhamasisha wawekezaji mbalimbali duniani kushiriki katika Duru ya Tano ya Kunadi Vitalu vya utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia katika Bahari Kuu ya Hindi na Nchi Kavu itakayozinduliwa mwezi Machi, 2025. Matangazo ya fursa za uwekezaji kwenye Sekta ya Mafuta na Gesi…
