WFP watakiwa kununua mahindi ya wakulima kwa Tsh. 700
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewataka mawakala wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na kuhakikisha wananunua mahindi kwa wakulima kwa shilingi 700 kwa kilo. Waziri Bashe amesema hayo wakati wa ziara yake ya ukaguzi katika Kituo cha Ununuzu wa Mahindi cha Kizuka, Mkoani Ruvuma Septemba 18, 2024. Ameitaka WFP kununua mahindi moja kwa…
