Site ni lango la fursa kwa wadau wa utalii: Dkt Chana
Serikali kupitia Maonesho ya Swahili International Tourism Expo- SITE imezidi kufungua milango ya fursa katika sekta ya utalii zinazopatikana nchini kwa wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana Oktoba 14, 2024 Jijini Dar es Salaam, alipofunga rasmi Onesho la Kimataifa la Utalii…
