Screen Shot 2025 04 02 at 3.47.51 PM

Wananchi waaswa kukopa sehemu rasmi kujiepusha na udhalilishaji

Wananchi wametakiwa kukopa mikopo inayotolewa na Serikali na Taasisi rasmi ili kujiepusha na udhalilishaji unaoweza kutokea kutokana na kukopa mikopo yenye masharti magumu kutoka kwa Taasisi zisizo rasmi na kwa wakopeshaji binafsi. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Binuru Shekidele alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 02 at 12.53.30 PM

Taasisi za uhifadhi zatakiwa kulinda maeneo kwa teknolojia

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zinazojishughulisha na masuala ya uhifadhi kuhakikisha zinaweka mikakati ya kulinda maeneo ya hifadhi kwa teknolojia. Ameyasema hayo Machi 29,2025 alipokuwa akizungumza na Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Arusha wakati wa ziara ya kikazi ambapo alikagua mradi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks