SERIKALI YAPONGEZWA JUU YA KIMA CHINI CHA MSHAHARA
Serikali yapongezwa juu ya kima chini cha mshahara.Katika hatua inayotajwa kuwa ni ukombozi kwa wafanyakazi nchini Tanzania, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imetoa pongezi za dhati kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pongezi hizo zinakuja baada ya kutangazwa kwa amri mpya ya kima cha chini cha mishahara…

