TIA yapongezwa kuendeleza wanafunzi wabunifu
Taasisi ya Uhasibu (TIA), imepongezwa kwa kuwa mstari wa mbele katika kuwaendeleza wanafunzi wenye mawazo ya kibunifu ili waweze kufikia malengo yao na kutekeleza Mpango wa Vituo Atamizi, unaowawezesha wanafunzi kujiajiri, kuajirika, na kuchangia uchumi wa Taifa. Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jenifa Christian Omolo kwa niaba ya Waziri wa…
