TANZANIA YAZIDI KUNG’ARA SEKTA YA UWEKEZAJI KIMATAIFA
Katika kipindi hiki ambacho ulimwengu unatafuta vyanzo vya uhakika vya nishati,Tanzania imezidi kuimarisha nafasi yake kama kivutio kikuu cha mitaji. Uwekezaji katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania umepata kishindo kipya kufuatia ushiriki wa nchi yetu katika jukwaa la kimataifa la Wiki ya Nishati ya India (India Energy Week – IEW 2026) kule Goa. Tanzania…

