Fahamu jinsi ya kukuza biashara ndogo
Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri, kuitangaza, usimamizi wa fedha, na kuzingatia wateja wako. Weka malengo na mpango yako Weka malengo mahususi (yaliyo wazi, yanayoweza kupimika na yanayowezekana. Hapa usiweke malengo ya vitu ambavyo havitaweza kutokea. Jua kile unachofanya na kiwe kinakutofautisha na wafanyabiashara wengine, weka sababu kwa nini wateja wanunue kwako na sio kwa wafanya biashara…
