Unaweza kupata Sh 20,000 kwa siku kwa kuuza chupa za plastiki pesatu.co.tz

Unaweza kupata Sh 20,000 kwa siku kwa kuuza chupa za plastiki

Unaweza usiamini lakini inawezekana, usiichukulie poa. Chupa za plastiki ni fursa ya biashara kama zilivyo biashara zingine. Biashara ya makopo ni biashara kama biashara zingine. Watu wengi wanaofanya kazi ya kuokota makopo huonekana kama wamechanganyikiwa kutokana na muonekano wa baadhi yao, wengi wakionekana wachafu. Usichokijua ni kwamba biashara hii ina uwezo wa kukupatia kipato cha…

Soma Zaidi
Elewa mambo ya msingi juu ya elimu ya fedha Tanzania pesatu.co.tz

Elewa mambo ya msingi juu ya elimu ya fedha Tanzania

Elimu ya fedha ni moja ya nyenzo zenye nguvu zaidi kwa kujenga uthabiti wa kifedha Tanzania. Kwa familia nyingi, changamoto si kupata kipato pekee bali kujua jinsi ya kukitumia kwa busara. Nchini kote, wafanyakazi, wanafunzi, wakulima, na wajasiriamali hujiuliza maswali yanayofanana. Ninawezaje kufanya kipato kidumu, ninawezaje kuweka akiba, na nichukue hatua gani kuhakikisha usalama wa…

Soma Zaidi
Ukuaji Sekta ya Madini waongeza mahitaji ya umeme Tanzania: Dkt. Biteko pesatu.co.tz

Ukuaji Sekta ya Madini waongeza mahitaji ya umeme Tanzania: Dkt. Biteko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema ongezeko la shughuli za uchimbaji na uongezaji thamani sekta ya madini limechochea mahitaji makubwa ya nishati ya umeme nchini, hali inayothibitisha kasi ya ukuaji wa sekta hiyo. Amebainisha hayo Septemba 28, 2025, wakati akihitimisha Maonesho ya 8 ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita,…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks