KCB YAZINDUA USHIRIKIANO NA WAZALISHAJI PWANI
KCB yazindua ushirikiano na wazalishaji pwani. Katika kipindi hiki ambacho Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaimarisha diplomasia ya uchumi, sekta ya fedha na viwanda zimeendelea kuwa nguzo kuu. Mapinduzi haya ya kibiashara si tu yanatengeneza ajira, bali yanajenga msingi imara wa uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi Tanzania….

