JINSI NEMBO YA MADE IN TANZANIA INAOKOA BIASHARA YAKO
Jinsi nembo ya made in Tanzania inaokoa biashara yako .Katika ulimwengu wa sasa wa ushindani wa kibiashara, utambulisho ni kila kitu. Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha bidhaa za ndani zinapata thamani inayostahili. Moja ya nyenzo muhimu zaidi iliyoanzishwa ni nembo rasmi ya Taifa ya bidhaa….
