TANZANIA NA GHANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
Tanzania na Ghana kuimarisha ushirikiano. Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya kuimarisha umoja wa Afrika kupitia vitendo, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa Tanzania na Ghana. Mazungumzo haya ya kihistoria yaliyofanyika katika Ikulu ya Arusha, si tu yamejikita katika diplomasia ya kawaida, bali yamelenga katika “mishipa” ya uchumi wa…
