TANTRADE YAIMARISHA MAZINGIRA RAFIKI YA BIASHARA -pesatu.co.tz

TANTRADE YAIMARISHA MAZINGIRA RAFIKI YA BIASHARA

Tantrade yaimarisha mazingira rafiki ya biashara. Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imepiga hatua nyingine muhimu katika kuhakikisha kuwa sekta ya biashara nchini inakuwa na dira inayoeleweka. Katika kikao cha hivi karibuni jijini Dar es Salaam, mamlaka hiyo imetangaza kuwa inaendelea kupokea maoni kutoka kwa wafanyabiashara na wadau mbalimbali ili kuboresha kanuni zinazosimamia sekta…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks