AIRTEL YAJA NA MAPINDUZI YA KIDIGITALI ARUSHA
Airtel yaja na mapinduzi ya kidigitali Arusha . Jiji la Arusha, maarufu kama kitovu cha utalii na biashara kanda ya kaskazini, limepata neema mpya katika sekta ya mawasiliano. Kampuni ya Airtel Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa kwa kufungua maduka manne mapya ya kisasa, yanayojulikana kama Airtel Smart Shops. Hatua hii ni sehemu ya mkakati wa…
