OSHA YAJA NA MAPINDUZI MAPYA KATIKA UWEKEZAJI NCHINI
Osha yaja na mapinduzi mapya katika uwekezaji nchini. Katika jitihada za kuboresha mazingira ya kufanyia biashara na kuvutia wawekezaji nchini Tanzania, Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua mpango kabambe na wa kihistoria. Mpango huu unalenga kuunganisha nguvu na Maafisa Biashara wa mikoa na wilaya nchini kote ili kuhakikisha kuwa suala la…
