FAIDA YA AIRTELL AFRIKA YAZIDI KUONGEZEKA
Faida ya Airtell Afrika yazidi kuongezeka. Sekta ya mawasiliano barani Afrika imeshuhudia mabadiliko makubwa katika kipindi cha miezi tisa iliyopita, huku kukiwa na ushindani mkali wa kutoa huduma bora za intaneti na kifedha. Katika mazingira haya, ukuaji wa Airtel Afrika umekuwa gumzo kufuatia ripoti ya hivi karibuni ya kifedha iliyoishia Desemba 31, 2025. Kampuni hiyo…
