UZINDUZI SOKO LA KARIAKOO ALAMA YA MAGEUZI YA UCHUMI
Uzinduzi soko la Kariakoo alama ya mageuzi ya Uchumi. Moyo wa biashara nchini Tanzania umepata mapigo mapya ya uhai. Rais Samia Suluhu Hassan, ameweka historia mpya jijini Dar es Salaam kwa kufungua rasmi Soko Kuu la Kariakoo lililofanyiwa ukarabati mkubwa na upanuzi wa kisasa. Tukio hili si tu ushindi kwa wafanyabiashara wa eneo hilo, bali…
