ABSA YASHEREKEA REKODI YA TANZANIA PICKLEBALL OPEN
ABSA yasherekea rekodi ya Tanzania Pickleball Open. Katika hatua kubwa inayothibitisha kukua kwa kasi kwa michezo mipya nchini, mashindano ya Tanzania Pickleball Open 2026 yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam yameacha alama isiyofutika. Mashindano haya, yaliyodhaminiwa kwa ukubwa na Benki ya Absa Tanzania, yameshirikisha wachezaji mahiri wa mchezo wa pickleball kutoka zaidi ya nchi…

