Unaweza kupata Sh 20,000 kwa siku kwa kuuza chupa za plastiki pesatu.co.tz

Unaweza kupata Sh 20,000 kwa siku kwa kuuza chupa za plastiki

Unaweza usiamini lakini inawezekana, usiichukulie poa. Chupa za plastiki ni fursa ya biashara kama zilivyo biashara zingine. Biashara ya makopo ni biashara kama biashara zingine. Watu wengi wanaofanya kazi ya kuokota makopo huonekana kama wamechanganyikiwa kutokana na muonekano wa baadhi yao, wengi wakionekana wachafu. Usichokijua ni kwamba biashara hii ina uwezo wa kukupatia kipato cha…

Read More
Umuhimu wa kuwa na kipato cha halali pesatu.co.tz

Umuhimu wa kuwa na kipato cha halali

Watu wengi hasa vijana wanaona kipato cha halali hakitoshi kukidhi mahitaji ya kila siku. Juma alifuta jasho la uso wake, jua kali la mchana likiwaka akiwa katika eneo kituo cha ujenzi Ubungo. Alishuhudia gari zuri, nyeupe ya aina ya Toyota RAV4  kama ile anayoiona kwenye video za muziki ikikaribia na kusimama karibu nae. Kwa mshangao…

Read More
Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri pesatu.com

Fahamu jinsi ya kukuza biashara ndogo

Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri, kuitangaza, usimamizi wa fedha, na kuzingatia wateja wako. Weka malengo na mpango yako Weka malengo mahususi (yaliyo wazi, yanayoweza kupimika na yanayowezekana. Hapa usiweke malengo ya vitu ambavyo havitaweza kutokea. Jua kile unachofanya na kiwe kinakutofautisha na wafanyabiashara wengine, weka sababu kwa nini wateja wanunue kwako na sio kwa wafanya biashara…

Read More
Hizi hapa nchi 71 raia wake kuingia Tanzania bila VIZA

Hizi hapa nchi 71 raia wake kuingia Tanzania bila VIZA

Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama Julius Nyerere (Dar es Salaam), Kilimanjaro na Zanzibar. Haya yamebainishwa na…

Read More
Kiwanda cha kuzalisha unga wa chokaa (ground calcium carbonate) cha Stalick.

Kiwanda cha Stalick chaleta maendeleo Pwani

Kiwanda cha kuzalisha unga wa chokaa (ground calcium carbonate) cha Stalick, kimeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa jamii inayozunguka eneo hilo kwa kutoa ajira na kuchangia shughuli mbalimbali za kijamii. Akizungumza kupitia mahojiano maalum, Meneja wa kiwanda hicho kilichopo katika Kata ya Msoga, Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani, Expeditor Mlanzi amesema kuwa zaidi ya asilimia…

Read More