Ufadhili afya ya uzazi wahitajika
Mke wa Rais wa Kenya Margaret Kenyatta amewataka wawekezaji kuongeza ufadhili katika mifumo ya afya ya uzazi, vijana na watoto barani Afrika. Akizungumza mwishoni mwa mwezi Februari, Kenyatta amesema ushirikiano baina ya sekta za umma na binafsi ni muhimu ili kuongeza rasilimali kusaidia sekta hiyo. Amewaalika wafadhili kusaidia mfumo dhaifu wa uzazi na afya ya…
