WhatsApp Image 2023 07 12 at 14.03.46

Tz kuwasilisha Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030

Tanzania inatarajia kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari ya Nchi ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, katika Jukwaa la Juu la Siasa la Umoja wa Mataifa. Taarifa hiyo itawasilishwa Julai 18, 2023, wakati wa mikutano ya Jukwaa hilo inayoendelea, Jijini New York, Marekani. Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi…

Soma Zaidi
Unaweza kupata Sh 20,000 kwa siku kwa kuuza chupa za plastiki pesatu.co.tz

Watanzania watakiwa kuwa na uthubutu

Watanzania wametakiwa kuwa na uthubutu wa kufanya biashara na kuwekeza katika maeneo mbalimbali badala ya kutegemea watu kutoka nje ya nchi katika uwekezaji. Ally Dahal, ambae ni Mkurugenzi wa Jochata Vocational Centre ametoa wito huo katika maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa, Sabasaba jijini Dar es Salaam. “Watanzania wengi hawana uthubutu wa kuanzisha biashara,…

Soma Zaidi
sawawa

TRA yakusanya Sh. trilioni 24.11

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 24.11 sawa na ufanisi wa asilimia 97.4 ya lengo la kukusanya St trilioni 24.76 katiki kipindi cha mwaka wa fedha 2022/23. TRA imesema makusanyo hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 8.2 ikilinganishwa na makusanyo ya kipindi kama hicho kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Taarifa ya TRA…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 07 03 at 15.00.14

Watunzi wa filamu wanolewa

Takriban watunzi 37 wa filamu kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamepata mafunzo kwa lengo la kuinuka na kukuza sanaa ya filamu. Mafunzo hayo yamefanyika katika hoteli ya Serena mjini Unguja yameandaliwa na Multichoice Talent Factory kwa kushirikiana na Zanzibar International Film Festival (ZIFF). Akizungunza na waandishi wa habari Mkurungenzi wa Multichoice Africa Nwabisa Matyunza amesema…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks