Bil 233/ za Japan kuwezesha vijana kuwekeza
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na fedha za Mfuko wa Kukuza Uwekezaji barani Afrika kutoka Serikali ya Japan zitakazotolewa kuanzia Machi mwakani. Mwenyekiti wa timu ya Afrika ya Keizai Doyukai (Chama cha Watendaji Wakuu wa Mashirika Japan), Mutsuo Iwai alisema hayo wakati akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ofisini kwao Marunouchi, Chiyoda-ku,…
